HOLY COMMUNION & GOSPEL CLEANERS SERVICE - 10.5.2024.

43,833
0
Published 2024-05-10
Thank You for Supporting Newlife Prayer Centre & Church.
Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451/+254 702666222/ Till NO:9134561
ONLINE GIVING: newlifeprayercenterandchurch.org/give/alm.php

All Comments (21)
  • @Jgft-ok8ql
    Bwana yesu nikumbuke jioni hii usinipite niokoe kwa ndoa angu niondolee mpango wa kando kwa ndoa angu naitaji amani na furaha kwa ndoa angu🙏🙏
  • @savour_APEX
    Thank you Jesus for Grace in prayers and fasting session i have been fast for about 3months now i tried and i fail now am able to fast once again LORD GOD I PRAY THAT THE SAME GRACE WILL ALWAYS AND FOREVER GIVE ME PRAYERS AND FAST AND SUCRIFICE HUNGER FOREVER AND EVER AMEN
  • @noahlekura8213
    Bwana yesu I connect my wife and my family and my job and my children in this higher altar in jesus name amen amen
  • Ahsante Yesu kwa kunipa roho ya ufanisi katika uongozi. Usifiwe milele
  • @noahlekura8213
    Mungu kupitia mathabau haya nilinde siku ya leo nenda nami mchana huu na pia na familia yangu uwalindie nyota zao na nyota yangu ingae saidi katika mahali ninayofanyia kazi in jesus name amen amen amen
  • @risperadhiambo
    Thank you God you have done to my fellow christians God of Abraham Isaac and Jacob done it unto me also in Jesus mighty name Amen 🙏
  • @Annah-ur2zo
    Asifiwe yesu naoba mathabahu haya yabadilishe maisha yangu,niede viwango vingine Amen
  • @MinahMjeni
    Eeh..Mungu nikumbuke kwa hali hizi ninazopitia za magonjwa,niponye katika jina yesu🙏
  • @BrendaLewa
    Nipe roho ya ufanisi bwana yesu nmechoka umasikini 💫
  • Yesu usinipite leo mungu nifunguliwe kutokana na ndoto mbaya katika jina la Yesu
  • Bwana Asifiwe, madhabahu ya umaskini ivunje nikapokee nyota utajiri ,Mali na ufanizi ni Jesus Name
  • @MaryWambo-hs9lj
    Najiunganisha n mathabahu hii ya baba yangu wakiroho,ninavita katika kazi nomba nikienda Kwa HR juu ya maneno watu wameniedia mungu anitangulie
  • @JanestaAnatory
    Asantebwan yesu kwa sku ya leo naomba neema ya uponyaji katika maish yangu na kaka yangu na wazazi pia damu ya yesu hitutakase
  • @FloridaKuya
    Watoto wangu wafunguliwe nyota ya Masomo na mafanikio Kwa maisha yangu
  • @LinetMasese
    Ee Mungu I connect my life my baby and my family to this alter in Jesus name
  • @loicekomora8703
    Mungu kumbuka watoto wangu...ponys my sons leg in jesus name
  • @JanestaAnatory
    Bwana yesu tunakulilia tunaomba ufungue ufahamu wangu niweze kuelewa darasani katka masomo yangu