SPECIAL SERVICE - 1.5.2024

Publicado 2024-05-01
Thank You for Supporting Newlife Prayer Centre & Church.
Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451/+254 702666222/ Till NO:9134561
ONLINE GIVING: newlifeprayercenterandchurch.org/give/alm.php

Todos los comentarios (21)
  • @tinaolunga
    Mungu wa pasta Ezekiel naomba uniombe kichuwa Ina shnda kuniuma kina wakati ninapo funga naomba nifunguliwe pamoja na familya yangu ifunguliwe magonjwa vidonda via tumbo umasikini biaashara kuanguka ndoto mbaya umasikini zishindwe katika jina la yesu kristo tufunguliwe amen
  • @marynafula7836
    Ewe Yesu wangu usisau ahadi zako ulisema na mm wewe u pamoja nami 😢rafiki yangu wa kweli .........🙏🙏🏿
  • @FrancisObala-ni6hl
    May our good God always protect my mama,father,my siblings my wife and entire Home. Be with us always God through this Altar I trust in you God.
  • @oliviaakinyi7236
    Mungu aniondolee ndoto mbaya - za wafu, majini na mapepo kwa jina la Yesu Kristo Amen
  • @SarahMurunga-ch1es
    Naomba nunue shamba nijengee mama hatuna mako mazuri, nioate uzao, na ndoa ya heshima .naomba mungu anipee nyota ya ufanisi. Amen
  • @belletermusili8958
    God ni ponye na unitoe kwenye hii madeni yaishe kupitia hii madhabau in Jesus name 🙏
  • @bettykisorio9537
    I connect my brother Gideon to this alter, pepo za uvutaji bangi, kunywa pombe, kula kuber na kutoskiliza wazazi kimuachilie majira kama haya.... Out out in the name of Jesus....
  • @AAa-po6tg
    I connect my son and his family to these higher alter njia za business zifunguke and my marriage to be open ,regeza mungu wangu ninunue,shamba,gari nifuge,afyia njema
  • @shantelShamola
    Lord remember all the people in the world in Jesus name healing, restoration upon all
  • @tinaolunga
    Mungu no kumbuke Niko na maden natunaitaji school fes kulipa kibanda na nyumba mungu wai madhabau naomba tukumbuke milango ifunguliwe magonjwa vidonda via tumbo umasikini biaashara kuanguka zishindwe ndoto mbaya zishindwe katika jina la yesu kristo tufunguliwe y
  • @evelynekalekye1179
    Napokea Nyota yangu, napokea kibali changu, napokea promotion in Jesus Mighty name.
  • @OlgaNyamwamu
    Amen🙏🙏Roho wa Bwana nijaze Nathamani kuomba🙏🙏
  • @evelynekalekye1179
    I receive Divine Favour for me and my family. Every obstacle be broken in Jesus Mighty name.
  • @LydiaMutsoro
    Mungu kupitia kwa hii Madhabahu naomba nyota ya ufanisi
  • @Snider-zl4qm
    Praise God, niombee amani na ndoa na uondoe mambo na kurejectiwa